انتقل إلى وضع عدم الاتصال باستخدام تطبيق Player FM !
Watu wengi wanajikuta na magonjwa ya figo na ini,watoto wengi Sudan wakiaga
Manage episode 413090764 series 1189407
Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani
WHO inabashiri kuwa ongezeko hilo litakuwa juu zaidi kufikia mwaka 2030 ,hali hii ikichangiwa na hali ya maisha haswa ya raia katika nchi zinazoendelea
Ugonjwa wa ini maarufu Hepatitis pia ni tishio kubwa haswa kwa raia wa Afrika ambayo inachangia asilimia 63 ya visa vya Hepatatis
Nchini Sudan watoto wengi haswa walio chini ya umri wa miaka mitano wanazidi kupoteza maisha kutokana na utapiamlo unaohusishwa na ukosefu msaada wa kibinadaam wakati huu vita vikiendelea kurindima
22 حلقات

كل الحلقات
×مرحبًا بك في مشغل أف ام!
يقوم برنامج مشغل أف أم بمسح الويب للحصول على بودكاست عالية الجودة لتستمتع بها الآن. إنه أفضل تطبيق بودكاست ويعمل على أجهزة اندرويد والأيفون والويب. قم بالتسجيل لمزامنة الاشتراكات عبر الأجهزة.