Njia 04 Za Kugundua Kipaji Chako...!
M4A•منزل الحلقة
Manage episode 373823514 series 3280689
المحتوى المقدم من Innocent Ngaoh. يتم تحميل جميع محتويات البودكاست بما في ذلك الحلقات والرسومات وأوصاف البودكاست وتقديمها مباشرة بواسطة Innocent Ngaoh أو شريك منصة البودكاست الخاص بهم. إذا كنت تعتقد أن شخصًا ما يستخدم عملك المحمي بحقوق الطبع والنشر دون إذنك، فيمكنك اتباع العملية الموضحة هنا https://ar.player.fm/legal.
Umebarikiwa zawadi ya kipaji ndani yako pasipo kujali unajua au hujui, lakini una kipaji umebeba ndani yako. Kwahiyo Ondoa mtazamo kuwa hauna kipaji na Upo Upo tu au kuna kundi la watu wachache ndiyo wana vipaji na wewe hauna. Hii episode itakusaidia kujibu swali Muhimu “Nitajuaje kipaji changu” kwa sababu njia hizi 04 ni uhakika kujua na kugundua kipaji chako kwa asilimia 100% nakutakia Safari njema ya kuanza kukiishi kipaji chako baada ya kukigundua. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
104 حلقات