FUATA BIBLIA IKUONGOZE
وسم كل الحلقات كغير/(كـ)مشغلة
منزل السلاسل•Feed
Manage series 1958520
المحتوى المقدم من FUATA BIBLIA IKUONGOZE and FUATA BIBLIA. يتم تحميل جميع محتويات البودكاست بما في ذلك الحلقات والرسومات وأوصاف البودكاست وتقديمها مباشرة بواسطة FUATA BIBLIA IKUONGOZE and FUATA BIBLIA أو شريك منصة البودكاست الخاص بهم. إذا كنت تعتقد أن شخصًا ما يستخدم عملك المحمي بحقوق الطبع والنشر دون إذنك، فيمكنك اتباع العملية الموضحة هنا https://ar.player.fm/legal.
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu. Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki.
…
continue reading
44 حلقات