انتقل إلى وضع عدم الاتصال باستخدام تطبيق Player FM !
Siha Njema
Manage series 1189407
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
24 حلقات

كل الحلقات
×
1 Uhusiano wa karibu kati ya matatizo ya tezi koo na afya yako ya akili 10:00

1 Mzigo wa uvutaji sigara Misri ulivyo pasua kichwa kwa afya ya wengi 9:55

1 Mipango tofauti ya matibabu ya matatizo ya Tezi koo ambayo hutumika Afrika 10:06

1 Matatizo ya tezi ya koo ambayo yanaweza kukusababishia matatizo ya akili 10:09

1 Mfano wa Misri wa kupambana na Malaria unaweza kutumika na mataifa ya Afrika 9:50

1 Mchango wa wanaveterinari ulivyo muhimu katika mapambano ya magonjwa ya milipuko 10:07

1 Kwa nini ni muhimu kuyachunguza maziwa unayotumia nyumbani kulinda afya yako 10:00

1 Changamoto zinazowakumba watalaam wanaojikita kwenye tiba asilia nchini DRC 10:00

1 Ufanisi wa Tiba asili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 10:11

1 Ukosefu wa maji salama unavyozidisha hali ya kibinadaam barani Afrika 10:16

1 Mpango wa lishe katika shule za umma nchini Kenya kupambana na utapiamlo 10:07

1 Haja ya huduma muhimu za wanawake waja wazito kupatikana kwa urahisi 10:09

1 Hali halisi ya Malaria barani Afrika wakati huu ufadhili ukiendelea kushuka 10:26

1 Kukata kiu ya jamii zinazoishi mpaka wa Kenya na Somalia ,waathiriwa wa mgogoro 8:57

1 Utayari wa ukanda wa Afrika kupambana na magonjwa ya milipuko 10:07
مرحبًا بك في مشغل أف ام!
يقوم برنامج مشغل أف أم بمسح الويب للحصول على بودكاست عالية الجودة لتستمتع بها الآن. إنه أفضل تطبيق بودكاست ويعمل على أجهزة اندرويد والأيفون والويب. قم بالتسجيل لمزامنة الاشتراكات عبر الأجهزة.