Podcast by MjällbyPodden
…
continue reading
Karibu katika Podcast ya Mjasiriamali wa Mtandao, sehemu ambapo utajifunza jinsi Ya kutumia mtandao wa internet kujenga na kukuza biashara yako
…
continue reading
Reviews of picture books for kids, by a kid
…
continue reading
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
…
continue reading
Humoristisk podcast om fotball og ingenting, med fjasprat, parodier og god stemning. Av og med Kurt Vadset og Sven Giske.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Mjällbypodden EP. 32 - Carljohan Eriksson
1:51:40
1:51:40
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
1:51:40Nytt avsnitt ute och denna gången med succémålvakten Carljohan Eriksson. Vi pratar igenom Calles säsonger 2018, 2019, 2020 och 2021, vi pratar om de olika tränarna, Milos, Lantz, Järdler och Torstensson och massa mer!Ett fullspäckat avsnitt med inte bara en fantastisk fotbollsspelare utan också en fantastisk människa. Enjoy!…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023
10:01
10:01
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
10:01Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayota…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022
10:10
10:10
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
10:10Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.بقلم RFI Kiswahili
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika
10:30
10:30
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
10:30Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao? Mjadala wa w…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu
13:41
13:41
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
13:41Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.بقلم RFI Kiswahili
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde
9:55
9:55
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
9:55Tunajadili siku 100 za serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Sama Lukonde.بقلم RFI Kiswahili
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu
10:11
10:11
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
10:11Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaa vya kutosha ? Tunajadili.بقلم RFI Kiswahili
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
106: Wasi Wasi Unakulostisha | Makavu Live
9:42
9:42
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
9:42Unaishi maisha ya wasi wasi? Sikiliza hii...
…
continue reading
Je unataka kuona matokeo mapema? Kuwa na Subra.
…
continue reading
Ukifahamu Nguzo hizi tatu utaweza Kufanya Biashara kwa urahisi mno
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
103: Badilika! Wewe Sio Mti | Saturday Rant
8:43
8:43
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
8:43Wajasiriamali wenye ku win kwenye soko ni wenye kuweza kubadilika kutokana na mazingira waliyonayo. Wewe Sio Mti. Badilika!
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
102: Jinsi ya Kutumia 'Alter Ego' Kufanya Vitu Unavyoogopa Kufanya
20:22
20:22
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
20:22Je unajua unatakiwa kufanya kitu gani exactly lakini unajikuta hufanyi? Basi 'Alter Ego' inakuhusu...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
101: Unashindwa Ku Manage Stress | Makavu LIVE
11:55
11:55
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
11:55Unasumbuliwa na stress? Sikiliza hii...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
100: Jinsi ya Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Mara 5 Hadi 10 Haraka
8:04
8:04
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
8:04Unataka kukuza kipato chako haraka? Fanya hivi...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
99: Jinsi ya "Kuvunja Shingo ya Chupa" Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Haraka
13:13
13:13
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
13:13Unahangaika kukuza kipato cha biashara yako? Vunja shingo ya Chupa...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
98: Unatumia Lugha ya Kimaskini | Makavu LIVE
10:44
10:44
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
10:44Kama hujui kwanin hupati mafanikio katika biashara yako basi kuna uwezekano mkubwa unatumia lugha ya kimaskini. Sikiliza zaidi kufahamu jinsi ya kuondokana na hili tatizo.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
97: Jinsi ya Kujenga Biashara Yenye Kuingiza Faida ya Milioni kwa Mwezi
38:31
38:31
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
38:31Kama wewe una mpango wa kuanzisha biashara yenye kukuingizia milioni kwa mwezi au ni mjasiriamali unayehangaika kuingiza milioni au zaidi kila mwezi basi sehemu ya leo ni kwa ajili yako.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
96: Kwanini Wateja Wako Hawanunui Bidhaa / Huduma Unayotoa
16:16
16:16
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
16:16Kama wewe ni mjasiriamali na wateja wako hawakuelewi unapowaambia kuhusu bidhaa/huduma unayotoa basi sehemu ya leo ya podcast inakuhusu...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
95: Jenga Urafiki na Nafsi Yako | Makavu LIVE
30:52
30:52
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
30:52Kama umekuwa ukisumbuliwa kwa kiasi kikubwa kutochukua hatua au Uvivu basi sehemu hii ya podcast inakuhusu
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
94: Misingi 3 ya Biashara Yenye Mafanikio
23:31
23:31
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
23:31Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga biashara ya uhakika basi kuna uwezekano mkubwa hufahamu Misingi 3 ya biashara yenye mafanikio makubwa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
93: Acha Kusingizia Corona | Makavu LIVE!
17:59
17:59
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
17:59Acha Kuzingizia Corona. Chapa kazi!
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
92: Jinsi ya Ku Win Katika Janga Hili la Corona
25:15
25:15
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
25:15Je biashara yako inayumba katika kipindi hiki cha Corona? Fanya hivi...
…
continue reading
Kama unaona unafanya kila kitu katika biashara yako vizuri bila ya mafanikio, basi kuna uwezekano mkubwa una tatizo la ubaghili.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
90: Jinsi ya Kusakwa na Wateja Katika Biashara ya Kutoa Huduma
21:34
21:34
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
21:34Je wewe upo katika biashara ya kutoa huduma (service business) lakini hupati wateja? Kama jibu ni ndio basi sehemu hii ya podcast ni kwa ajili yako...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
89: Jinsi Zacharia Alivyotumia Mtandao Kukuza Kipato Chake Kutoka Laki 3 Hadi Milioni 15 Kwa Mwezi
1:03:27
1:03:27
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
1:03:27Baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu kufanya mauzo kwenye mtandao, Zacharia akahudhuria moja ya Instagram Live niliyofanya na Pius na kujinyakulia kozi zetu moja baada ya nyengine huku kipato chake kikikuwa.
…
continue reading
Je unaogopa kuchukua hatua kufanya mambo ya msingi yenye mafanikio? Sikiliza hii...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
87 - Jinsi ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao - Part 2
33:42
33:42
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
33:42Kama wewe ni networker mwenye kuhangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
86: Acha Kuwa Mhanga Wa Mazingira | Makavu LIVE!
14:20
14:20
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
14:20Kama kuyumba kwa uchumi au jambo lolote katika mazingira yako yanasababisha kuyumba kwa biashara yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mhanga wa mazingira.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
85: The Art of Public Speaking | Part 1
1:03:54
1:03:54
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
1:03:54Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuongea mbele ya umati wa watu basi sehemu ya podcast ya leo itabadilisha maisha yako. Katika sehemu hii nimemualika mzungumzaji mashuhuri hapa Tanzania Coach James kumwaga madini ya namna ya kubobea katika hii profession. Hakikisha una kalamu na karatasi na enjoy darasa la leo.…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
84: Huna Mfumo wa Kuangalia Maendeleo Yako | Makavu LIVE
16:13
16:13
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
16:13Je wewe ni mjasiriamali mwenye malengo lakini unajikuta hutimizi malengo yako? Kama jibu ni ndio basi inawezekana unasumbuliwa na tatizo hili.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
83: Jinsi ya Kumiliki Brand Yenye Kuwindwa na Wateja
21:38
21:38
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
21:38Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja basi kuna uwezekano mkubwa kuwa unatafuta wateja badala ya kunasa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
82: Usitafute Mafanikio, Nasa Mafanikio | Saturday Rant
18:33
18:33
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
18:33Kama unahangaika kupata mafanikio basi Kuna uwezekano mkubwa kuwa unatafuta hayo mafanikio badala ya kunasa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
81: Jinsi ya Kupata Ushindi Kila Mara
13:52
13:52
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
13:52Je wewe ni mjasiriamali unayetamani kupata ushindi mara kwa mara? Basi fanya hivi...
…
continue reading
Dr. Said amka. Acha Uvivu!
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
79: Sifa 8 za Tovuti Zenye Kunasa Wateja
24:39
24:39
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
24:39Kama wewe ni mjasiriamali mwenye mpango wa kumiliki tovuti yenye kunasa wateja basi unatakiwa kufahamu sifa 8 hizi...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
78: Jinsi ya Kujenga Brand Yenye Kunasa Wateja
58:54
58:54
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
58:54Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga uaminifu kwenye soko lako basi Kuna uwezekano mkubwa hujajenga brand yenye kuaminika. Ndani ya sehemu hii nimemfanyia interview mtaalamu wa mambo ya branding Mr. Charles Nduku ku share na sisi jinsi ya kujenga brand yenye kunasa wateja.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
77: Unasita Kuchukua Hatua | Makavu LIVE!
15:05
15:05
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
15:05Kama umejikuta unahangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa unasita kuchukua hatua. Ukifanya hivi utapata matokeo mazuri...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
76: Hatua 4 za Kujenga Nidhamu ya Mafanikio
19:45
19:45
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
19:45Kama wewe ni mtu mwenye kuhangaika kupata mafanikio basi kuna uwezekano mkubwa hujajenga mazoea ya watu wenye mafanikio.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
75: Unakata Tamaa Mapema | Saturday Rant
14:02
14:02
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
14:02Moja ya sababu kubwa huoni mafanikio ni kukata tamaa mapema...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
74: Bidhaa na Huduma Unazotoa ni Ovyooo Kabisa | Makavu LIVE
16:31
16:31
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
16:31Unahangaika kupata wateja wa kudumu? Angalia bidhaa / huduma unayotoa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
73: Aina ya Malengo yenye kukuhakikishia mafanikio
18:17
18:17
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
18:17Unashindwa kutimiza malengo? Fanya hivi...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
72: Hisia Hasi Zinakumaliza | Makavu LIVE!
21:28
21:28
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
21:28Kama umekuwa ukihangaika kuona mafanikio katika biashara yako kwa kipindi kirefu basi kuna uwezekano mkubwa kuwa matatizo ya Kisaikolojia imechangia. Matatizo ambayo yamesababisha hisia hasi ndani ya mwili wako.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
71: Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja
1:00:48
1:00:48
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
1:00:48Kama wewe ni mjasiriamali uliyekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi leo ni sikukukuu yako. Mambo utayojifunza katika sehem hii si kuwa itakusaidia kupata wateja tu Ila itawafanya wateja hao wakubembeleze kununua bidhaa/huduma unayotoa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
70: Una Mazoea ya Kimaskini | Makavu LIVE
39:43
39:43
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
39:43Kama umekuwa ukihangaika kutimiza malengo yako kwa kipindi kirefu kuna uwezekano mkubwa una mazoea ya kimaskini. Katika sehemu ya leo utagundua hayo ni mazoea gani na namna ya kujenga mazoea ya watu wenye mafanikio.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
69: Jinsi ya Kufanya Mauzo Kiurahisi Hata Kama Hujulikani
23:03
23:03
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
23:03Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo kiurahisi kwenye soko basi formula hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
68: Jinsi ya Kuhakikisha Unatimiza Malengo yako PIGA UA!
32:06
32:06
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
32:06Je umechoka kutotimiza malengo yako kila mwaka? Basi ukifuata formula hii ☝️, kufeli kutakuwa kugumu kuliko kufanikiwa.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
67: Kwanini Una Tamaa? | Makavu LIVE!
14:39
14:39
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
14:39Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuona mafanikio katika biashara yako au maisha yako kiujumla basi huenda tamaa ndio chanzo.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
66: Mambo 3 ya Kuzingatia Kuhakikisha Matangazo Yako ya Facebook Yanakuletea Wateja
58:48
58:48
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
58:48Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram basi sehemu ya leo inakuhusu...
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
65: Hujui Unataka Nini | Saturday Rant
16:29
16:29
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
16:29Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa hujui unataka kitu gani.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
64: Jinsi ya Kutumia Formula Ya Reverse Engineering Kuhakikisha Unatimiza Malengo Yako
59:26
59:26
التشغيل لاحقا
التشغيل لاحقا
قوائم
إعجاب
احب
59:26Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kila mwaka kutimiza malengo yako basi formula hii ya Reverse Engineering itahakikisha unafanya hivyo.
…
continue reading